Skip to content
Leon Major Malalah

Youth for youth · SikuzoteVijana kwa vijana · Sikuzote

Niko
ndani.
Niko
ndani.

Lurambi won't change from the sidelines. Join the team building Leon's campaign — door to door, ward by ward.Lurambi haitabadilika tukiwa kando. Jiunge na timu inayojenga kampeni ya Leon — nyumba kwa nyumba, wadi kwa wadi.

  • Get ward meet-ups and baraza dates firstPata tarehe za mikutano ya wadi na mabaraza kwanza
  • Train as a polling agent for 2027Pata mafunzo ya kuwa wakala wa kura 2027
  • Shape the agenda for your wardChangia ajenda ya wadi yako
WardWadi
How will you help?Utasaidia vipi? (optional)(si lazima)
Are you a registered voter?Je, umesajiliwa kupiga kura?

Preview: sign-ups are not yet sent to the campaign.Onyesho: usajili bado hautumwi kwa kampeni.

Uko Kadi?Uko Kadi?

—days to the ballotsiku hadi debeni

Your voice only counts if you're registered.Sauti yako inahesabika tu ukiwa umesajiliwa.

  1. 1

    Check your registrationHakiki usajili wako

    Use the IEBC portal to confirm your ward, polling centre and station.Tumia tovuti ya IEBC kuthibitisha wadi, kituo na mkondo wako wa kupigia kura.

    verify.iebc.or.keverify.iebc.or.ke
  2. 2

    Not registered? Go nowHujasajiliwa? Nenda sasa

    Registration continues at the IEBC constituency office in Kakamega and Huduma Centres. Carry your ID.Usajili unaendelea katika ofisi ya IEBC ya eneo bunge Kakamega na Huduma Centre. Beba kitambulisho chako.

  3. 3

    Show up on 10 August 2027Jitokeze tarehe 10 Agosti 2027

    Polls open at 6am. Bring the same ID you registered with — and bring a friend.Vituo hufunguliwa saa kumi na mbili asubuhi. Beba kitambulisho ulichosajiliwa nacho — na uje na rafiki.

Proud to amplify the Gen Z Niko Kadi movement — it belongs to every young Kenyan.Tunajivunia kuunga mkono vuguvugu la Gen Z la Niko Kadi — ni la kila kijana wa Kenya. #NikoKadi#NikoKadi